• boats

 

PRATICAL INFORMATION

 

GO ON A EXCURSION

hotel

ACCOMODATION

 carte

TOURISTIC MAP

 

 

 

 

The atmosphere...

 ...330 km to the South of Dar es Salaam
...290 km to the East of Selous Game Reserve

 

Welcome to Kilwa Masoko, main town of Kilwa District which is bordered by the Indian Ocean, and protected by a reef barrier and the islands of Kisiwani and Songo Mnara. Haven of peace, ideal to discover the Swahili culture of yesteryear and today. Relax by the sea after a safari and see the natural beauty of this wonderful place.
A destination full of promises and emotions which will transport you from the 11th century to this day amongst beaches, mangroves and forests !

Karibu Kilwa Masoko, makao makuu ya Wilaya ya Kilwa ambayo ni rasi (Kipande cha ardhi kilichoingia Baharini) kimepakana na Bahari ya Hindi, na kuzungukwa na miamba, Bahari, pamoja na visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara. Pepo ya amani, ni mahsusi kwa ajili ya kutambua Utamaduni wa Kiswahili, wa zamani na sasa. Kupunga upepo kando ya Bahari na baada ya safari na kuuona uzuri wa asili wa eneo hili la ajabu.

 

 

 

 

Travel...

...in time in the heart of East Africa


On the islands of Kilwa Kisiwani and Songo Mnara, ancient palaces, mosques, sultans burial sites and fortresses witness more than six centuries of trading between Persia, India, China and Africa. Today there is a peaceful atmosphere, the villagers live mainly from fishing in the heart of this outstanding site inscribed on the UNESCO World Heritage list.
Here gold, amber, incense, ivory but also more sadly slaves were exchanged. More than 12000, people lived on these islands.

Safiri kwa wakati kwenye visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara ambapo utaweza kuona kasri za kale, Misikiti, Maeneo ya Makaburi ya Wafalme na ngome ambazo zimeshuhudia zaidi ya karne sita za Biashara kati ya Uajemi, India, China, Indonesia, Arabuni na Afrika. Kwa sasa kuna hali ya amani, wakazi wake wengi hujikimu kwa kiasi kikubwa kutokana na Shughuli za Uvuvi, huishi katika eneo hili adhimu lililosajiliwa kwenye Orodha ya maeneo ya Urithi wa Dunia.(UNESCO).

 

 

 

 

Discover...

...nature, plentiful and varied

 The forest, the mangroves, the sea and the rivers make up a patchwork of landscapes where a conducive ecosystem has developped numerous species of birds and butterflies. Nature lovers and birdwatchers can observe endemic species, migratory birds from all over the world. Baobabs, mangos and cashews grow majestically in the countryside, a sight to be seen but remember to taste their fruits ! You are on the border of the Indian Ocean, on a beach of fine white sand, in a secluded cove, a fishing village or a desert island. Make the most of this beautiful spot, well off the beaten tracks !

Misitu, Mikoko, Bahari na mito, huwianisha mandhari sawia ambapo ikolojia stahili imesababisha uwepo wa aina ya (species) mbalimbali za ndege na vipepeo, wapenda mazingira ya asili, na watazama ndege wanaweza kuona aina/species zilizo kwenye hatari ya kutoweka na ndege wahamiaji kutoka maeneo mbalimbali ya dunia. Pata usingizi mwanana ukiambatana na sauti ya Bahari. Upo kandokando ya Bahari ya Hindi. Tumia vyema nafasi hii adimu kwenye eneo hili zuri, tulivu na ambalo liko mbali na kelele.

 

 

 

Live...

...with the local people

The rich Swahili culture is based on exchanging and sharing. Here the word “karibu”, welcome in Swahili really makes sense. The people that live on the coast are salt workers, fishermen, boatbuilders (dhow-local wooden boat) but also farmers. They work with coconut fiber and gather sesame seeds. Discover the daily life of the inhabitants and share with them this genuine, unique place.

Ubora wa Utamaduni wa Kiswahili unatokana na Mahusiano ya kubadilishana na kushirikiana kibiashara. Hapa neno “Karibu” lina maana kubwa. Fahamu maisha ya kila siku ya Wenyeji na shirikiana nao kufaidi Uhalisia na upekee wa mazingira haya.

 

flag tanzania

kilwa our heritage

logo kilwa masoko township authority

kilwa district

kilwa island tour